nyahinga Member Joined Dec 18, 2016 Posts 45 Reaction score 23 Nov 5, 2017 #1 Nauliza utofauti wa wataalam wafuatao: Nutritionists Dietitians Herbalists Je kwa hapa Tanzania, hawa wataalam wanatoka wapi!? Je jamii na serikali inanufaika na wataalam wapi kati ya hao watatu. Je, vipi kuhusu ajira za wataalam hao?
Nauliza utofauti wa wataalam wafuatao: Nutritionists Dietitians Herbalists Je kwa hapa Tanzania, hawa wataalam wanatoka wapi!? Je jamii na serikali inanufaika na wataalam wapi kati ya hao watatu. Je, vipi kuhusu ajira za wataalam hao?
dumejm JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,180 Reaction score 853 Nov 19, 2017 #2 Naona watu hawakuelewi kabisa mkuu....