October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Wadau wanaojua mambo ya kununua vitu online wanisaidie je hapo bei ya hizi bidhaa ni yepi maana inavyoandikwa kama hivi inanichanganya $500.000-1000.000
Nipeni uchambuzi na je nikiagiza bidhaa kama hiyo itafika TZ na je kutakiwa na kodi yoyote.View attachment 901316
Mlolongo mkuu mambo ya kiregister na madude kibao minimetaka kujua bei kama utanielewa kinachonikanganyaNadhani icho kitufe cha contact supplier kina majibu ya swali lako