kizoleo
Member
- Apr 19, 2012
- 79
- 8
ni kuhusu mwanamuke aliyekosa hedhi. kwa mujibu wa maelezo yake,yeye ni mzazi wa mtoto mwenye umri wa miezi sita. tarehe 28-03-2012 alipata hedhi kama ilivyo ada.
tarehe 15-04-2012 ali do na husband wake kwa hesabu ya kuwa yupo nje wya siku za hatari. kilichofuata baada ya hapo tarehe 28-04-2012 hakupata hedhi hadi hivi leo na alienda kufanya test ya pregnancy yupo negative she is my sister in low msaidieni jamani atakuwa ana tatizo gani? ni hayo tu kwa leo.