wataalam wa biology msaada pls!

kizoleo

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
79
Reaction score
8
ni kuhusu mwanamuke aliyekosa hedhi. kwa mujibu wa maelezo yake,yeye ni mzazi wa mtoto mwenye umri wa miezi sita. tarehe 28-03-2012 alipata hedhi kama ilivyo ada.

tarehe 15-04-2012 ali do na husband wake kwa hesabu ya kuwa yupo nje wya siku za hatari. kilichofuata baada ya hapo tarehe 28-04-2012 hakupata hedhi hadi hivi leo na alienda kufanya test ya pregnancy yupo negative she is my sister in low msaidieni jamani atakuwa ana tatizo gani? ni hayo tu kwa leo.
 
jaribu ku-google mkuu, au azima kitabu cha biology kwa mwanafunzi karibu yako.
 
check tena baada ya week 2

mkuu kipimo cha U.P.T kina uwezo wa kutoa majibu ya ujauzito ukiwa umefikia umri gani? 7bu tangu siku ame-du na husband wake, leo ni siku ya 22 na alifanya test tarehe 04 may baada ya kutokupata hedhi tarehe 28 april so ni more than two weeks now!
 
DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Kitunguu saumu na maganda yake huteremsha hedhi

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.

Mwambie huyo shemeji yako ajaribu kutumia hizo dawa kisha unipe
feedback.
 
Mabadiliko kwenye mwili,mabadiliko ya hali ya hewa,kutumia njia za family planing sometimes husababisha m/ke kukosa MP,sasa kama hana mimba may be sababu nilizotaja zaweza kua chanzo,kuhusu afanyeje fuata ushauri wa mkuu hapo juu
 
mkuu kipimo cha U.P.T kina uwezo wa kutoa majibu ya ujauzito ukiwa umefikia umri gani? 7bu tangu siku ame-du na husband wake, leo ni siku ya 22 na alifanya test tarehe 04 may baada ya kutokupata hedhi tarehe 28 april so ni more than two weeks now!
week moja baadsa ya kukosa siku zake.
 
thanks mkuu.
 
mnh....:wacko::wacko::wacko::rant:
 
LMfAO! Sina mbavu hapa!
Afu shemeji yake ka-do na wenyewe amekuja kumshtakia hedhi bro inlOw! Kha!

king'asti kipi kikushangazacho! pls back to topic ni mambo ya kawaida tu katika jamii tuliyo nayo. she is my best friend wife!
 
Mabadiliko kwenye mwili,mabadiliko ya hali ya hewa,kutumia njia za family planing sometimes husababisha m/ke kukosa MP,sasa kama hana mimba may be sababu nilizotaja zaweza kua chanzo,kuhusu afanyeje fuata ushauri wa mkuu hapo juu

thanks a lot mkuu.
 
Inategemea anaenda mzunguko upi cz kuna 26, 28 mpaka 32, bt wengne had 37..kama ni wa 26 hadi 28 yuko safe na kama ni 30 kuendelea uwezekano wa kuwa mjamzito upo..so acheck aftr one wik akisubir kupima huku akifata ushauri wa mzizi mkavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…