naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Ulinunulia wap....
Dawa haiwezi uzwa bila kupitiwa na TFDA na wizara ya afya lakin dawa hizo ni muhimu sana kwa mama mjamziti kwan husaidia kupunguza uwwzekano wa kupata magonjwa yanayosabibasha kutoimalika vizurbkqa mfumo wa ubongo pengine mama akikosa follic acid anaweza zaaa mtoto mwenye NEURATUBE DEFECTS...wakat mwingine mtoto kuzaliwa ubongo nje au uti wa mgongo ukiwa wazi...kwa hiyo hizo dawa ni muhimu sana wakat wa ujauzito tafadhali mama asipuuzie ....ila kuhusu originality or fackness of drugs can not be veeified through your naked eyes....ndo mana wapo watu maalumu wa wizara ya afya ambao ndo wanaratibu dawa zote kabla hazijaingia sokoni au madukani...
Ujue nin mkuu...dawa haitengenezwi na kampuni moja bali ni kampuni nyingi ndo mana kuna kitu kinaitwa Trade name ,yan trade name n jina la kibiashara lakin dawa inajina jingine ndo mana ukiangalia dawa za malaria kama Malafin za Kenya yan zipo tofaut kabsa na Tz lakin boks zinataka kufanana kabsa ...so utofaut ni kidgo sana kulingana na kampuni ilipotengenezwa...Sawa ndg Asante kwa ushauri mzuri, Najua pia macho hayapimi lkn pia sipaswi kuamini kila ninachokiona, waswas wangu ni hizi dawa nilinunua mara ya pili yani ni nyepesi sana na box zake pia kwa nyuma zina utofauti kidogo, si unajua tena mkuu inchi yetu hii shamba la bibi TFDA wakija kukagua wauzaji wanaficha baadhi ya dawa zisikaguliwe! Kwahiyo mtumiaji pia unapaswa kua makini tusiwaachie tu TFDA na kuamini kuwa dawa zote zinakaguliwa.
Ujue nin mkuu...dawa haitengenezwi na kampuni moja bali ni kampuni nyingi ndo mana kuna kitu kinaitwa Trade name ,yan trade name n jina la kibiashara lakin dawa inajina jingine ndo mana ukiangalia dawa za malaria kama Malafin za Kenya yan zipo tofaut kabsa na Tz lakin boks zinataka kufanana kabsa ...so utofaut ni kidgo sana kulingana na kampuni ilipotengenezwa...
Au waweza nenda nazo kwa daktar ukamwonyesha zote alafu ukaona nakwambiaje...Sawa mkuu kwahiyo unanishaurije, nimwambie wife aendelee kuzitumia tu?
Ka una wasiwasi nenda nazo kwa daktari akupe ushauri mzuri
Mnaweza pi mkatumia prenatals....
Msisahau na calcium na omega 3...ila kwa ushauri wa dr plz