American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
bela kamwene
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Kamwene be,ndauli
Asante mzee nashukuru kwa ushauriUnaelekea mkuu au ulitaka uingize faida on the spot jifunze kutokana na loss zako jiulize haya maswali kwanini uliingia?je stratergy zako zilikuruhusu,kwanini zimekataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yoyote anayeingiza pesa kwenye biashara ni anacheza na hela yake maana kunakupata au kukosa.
Anhaa sawa nitalifanyia kaziNimefuatilia hii historia yako nimegundua jambo moja kubwa, Kwa mtaji ulionao na Stop Loss unayotoa ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwa mtaji ulionao maximum loss inatakiwa kuwa USD 2. au 1.50 Ila Inaonyesha unatoa Hadi usd 7.50 kama Stop Loss! Ukiweza Kulifix hilo utakuwa trader Mzuri maana naona Faida ni nyingi kuliko Loss
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Duh hatari, ulitumia muda ganiView attachment 1435237
hapa nilideposit 20usd ikaenda hadi 7400usd, hii ni screenshot kabla sijaclose trades. Je wakuu naweza endelea?
nilideposit 20usd nikaipandisha hadi 7,400 kwa muda wa wiki mbili, kumbuka sikuclose trades for two weeks.Duh hatari, ulitumia muda gani
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
nilideposit 20usd nikaipandisha hadi 7,400 kwa muda wa wiki mbili, kumbuka sikuclose trades for two weeks.
mkuu sidanganyi, kulamba 17,000,000+ million kwa mtaji wa 48,000 kwa wiki mbili sio kazi ndogommh Genius, Kama Nikweli mzee wewe ni shetani unatisha
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
mimi na upatu mbali mbaliHabari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi
View attachment 1435213
mkuu sidanganyi, kulamba 17,000,000+ million kwa mtaji wa 48,000 kwa wiki mbili sio kazi ndogo
Chai-kambanilideposit 20usd nikaipandisha hadi 7,400 kwa muda wa wiki mbili, kumbuka sikuclose trades for two weeks.
endelea mkuu utajenga nyumba na maisha yatasonga kwa hiyo biasharamkuu sidanganyi, kulamba 17,000,000+ million kwa mtaji wa 48,000 kwa wiki mbili sio kazi ndogo
sawa boss, endelea kuinywaChai-kamba