Wataalam wa Hisabati mpo?

Jibu ni 9. Haya ni maswali ya STD VII, hakuna swala la mathematicians hapo.
Unapoongelea ishu za mathematicians atleast leta mambo ya Newtonian Motions, Calculas, etc...
 
Last edited by a moderator:
Jibu ni 9. Haya ni maswali ya STD VII, hakuna swala la mathematicians hapo.
Unapoongelea ishu za mathematicians atleast leta mambo ya Newtonian Motions, Calculas, etc...
CALCULUS na sio calculas....jibu ni 9 kivip....embu open mabano....6/2*3....alafu gawanya jibu ni 9 au 1??
 
Jibu ni 9. Haya ni maswali ya STD VII, hakuna swala la mathematicians hapo.
Unapoongelea ishu za mathematicians atleast leta mambo ya Newtonian Motions, Calculas, etc...

Acha kudharirisha mathematics na physics eti jibu 9.UMekosa jibu ni moja hapo.
 
6/ 2(1+2) = 6/(2x1) + (2x2)
= 6/(2+4)
= 6/6
= 1
Kwa hiyo jibu ni moja
 
6/ 2(1+2) = 6/(2x1) + (2x2)
= 6/(2+4)
= 6/6
= 1
Kwa hiyo jibu ni moja

Njia uliyotumia ni ngumu, fuata MAGAZIJUTO = (MA-Mabano, GA-Gawanya, ZI-Zidisha, JU-Jumlisha , TO-Toa)

6/2(1+2)------MA
Mabano
(1+2)=3
Hivyo basi

6/2X3------GA
Gawanya

6/2 X 3

Hivyo basi

6/2 = 3 X 3

Mwisho

Jibu ni 9

Tufuate taratibu za hesabu.

1. Hatufungui mabano bali unasolve na kupata jibu la Mabano.

2. Inayofuata ni GAWANYA sio ZIDISHA 6 / 2 X 3

3. Mwisho ZIDISHA 3 X 3

Ambayo ni 9

Ndugu zangu hesabu sio rahisi ki hivyo.

Pole wajomba kwa kukureupuka na kejeri!!!!!.
 
Jibu litakuwa 1 iwapo

6/(2(1+2))
 
Mkuu Billie usiwe na kichwa kigumu kama nepi.... hau hujui maana ya mabano...6/2(1+2) = (6/2) x (1+2) = 3 x 3 = 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…