Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?

Thin Client ni aina ya computer nyepesi(lightweight) yaani haina functionalities kama za PC nyingine na hii inatumika kwa kuconnect na server(unaweza kuiita computer mama), na inapokea kila kitu na kuwa controlled na computer mama.
Mfano, kwenye mazingira ya kujifunzia kama shule, badala ya kununua computer 10 kwa ajili ya kufundishia kwenye lab yako basi unaweka computer moja tu itakayoact kama server na hizi thin client 10 kwa ajili ya wanafunzi.
Faida yake ni kuwa ni cheap kwahiyo una minimize cost lakini pia ni ndogo in size yaani ni kama tu unafunga monitors na kibox kidogo badala ya liCPU lizima.
Haya uliza swali

asante kwa ufafanuzi. Ninawezaje kubadili operating system ya hiyo THIN CLIENT
 
Thin client haina local storage au hard drive hivyo huwezi kuinstal OS bali inatumia hiyohiyo ya server
Mbona hii thin client yangu nikichomeka kwenye monitor inaonesha windows XP alafu inataka administrator password?
 
Screenshot_20200128-191341.png

IMG_20200128_191035_401.jpg
 
Back
Top Bottom