Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wana-JF kuna external hard drive imeingiwa na virus, so folder zote zimeliwa but nikiweka kwny pc yenye ubuntu folder naziona na contents zake zote, ninapojaribu kurudisha kwny laptop yenye window 7 OS folder zote tena hazionekani, nikiscan virus zinaonekana kuwa znakuwa scaned. Naomba ushauri nifanyeje ili ni-retreve hzo folder kama awali kabla ya kuvamiwa na virus?