Wataalam wa iPhone, changamoto hii inasababishwa na nini?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu nashindwa kusajili IPHONE ID

Kila nikitaka kumalizia inasema acc haiwez kutengenezwa muda huu

Hapa shida nn
 
Attachments

  • 1EC65B66-FE8D-4C5D-9256-67855A174FD1.jpeg
    1EC65B66-FE8D-4C5D-9256-67855A174FD1.jpeg
    404.4 KB · Views: 3
Wakuu nashindwa kusajili IPHONE ID

Kila nikitaka kumalizia inasema acc haiwez kutengenezwa muda huu

Hapa shida nn
Unashindwa kusajili kwenye nini? Simu?
Haina acc nyingine?
Yaani umeifanyia factory reset?

Angalizo
Kama ina acc nyingine na hauna details zake ukiifanyia factory reset itaji lock hadi uingize hizo details
 
acc mpya ya iphone nashindwa kufungua
 
acc mpya ya iphone nashindwa kufungua
Mkuu nauhakika watu wengi wanashindwa kukupa msaada kwasababu maelezo yako yako very poor....... yaani ili mtu akusaidie inabidi aanze kukuuliza maswali ili ajue tatizo lako nini, inaleta uvivu wa kusaidia

Nimejaribu kukuuliza maswali chokozi ufunguke lakini hujajibu hata moja na ndio kwanza umejibu kimkato
 
Inagoma ku sajili app ID Mkuu
 
angalia picha
 
Hata sisi tutamuelekeza kimkato hadi fuvu lirudishe akili
 
Iphone ikiuzwa mara kadhaa na ikatumika kuunda icloud zaidi ya 5 haiwezekani kucreare icloud nyingine tena

Ninavyoona hiyo simu ni ya zamani so jaribu kufungua icloud online then ulogin kwenye simu
 
sawa hii inaleta sense
Shukran mbabe
 
Kwenye MacBook ikitoa error km hio maana yake serial number ya hio device inatumika,km hio iPhone nimatoleo ya Dubai nyingi wanazifanyia something like cloning kwenye cheap kupoteza kumbukumbu za iCloud,so possible walisahau kwenye IMEI ya hio simu ndio maana inakupa hio error.km unaweza rudisha walipokuuzia ili unadilishe fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom