Wataalam wa Kenya watangaza utayari wao dhidi ya Coronavirus

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809

Passengers arriving at Jomo Kenyatta International Airport get scanned for the coronavirus

Kenya has set up two new facilities in readiness to test for the Novel Coronavirus.

Until Tuesday, February 11, all samples obtained from individuals suspected to carry the virus were sent to South Africa.

Acting Director-General of Health Patrick Amoth revealed on Tuesday, February 12, that laboratories under the National Influenza Centre, hosted at the National Public Health Laboratories and Kenya Medical Research Institute (Kemri), will begin testing samples immediately.

During an interview with the Daily Nation on Wednesday, Amoth said that the kits were well received on Sunday and testing for the new coronavirus would begin.


China Southern Airlines taking off from an airport

In response to the coronavirus outbreak, there has been a rush to establish diagnostic capabilities in different countries, particularly in developing countries.

Dr Ahmed Kalebi, pathologist and CEO of Lancet Kenya said testing for the pathogen is a complex affair, saying testing kits have to be newly developed and confirmed to be operational.

With the new kits now available, testing is now expected to take 24 hours.

A week ago, only two laboratories in Africa, namely South Africa and Senegal, could diagnose the virus. As of Sunday, WHO expected every African country to be able to diagnose the virus.

Source: Kenyans.co.ke
 
Wakenya kupambana na nzige mmeshindwa ndio mnasema mko tayari kupambana na corona virus?? Ni hatari sana kunywa chang'aa wakati wa jua kali na ukiwa na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya kupambana na nzige mmeshindwa ndio mnasema mko tayari kupambana na corona virus?? Ni hatari sana kunywa chang'aa wakati wa jua kali na ukiwa na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu nyie waficha maradhi kisa vihela vya utalii, mnafaa kuiga Wakenya, mjiandae msije mkatuletea balaa.
 
Mmeshindwa kuwaua nzige kibao wanazagaa Nairobi sembuse huo ugonjwa? Hivi yule jamaa alichapwa na mchina anaendeleaje?
 
Mmeshindwa kuwaua nzige kibao wanazagaa Nairobi sembuse huo ugonjwa? Hivi yule jamaa alichapwa na mchina anaendeleaje?
Atafidiwa ksh.800,000...hebu multiply by 22tsh upate kuona jamaa ni millionaire Tz.
 
Wakenya kupambana na nzige mmeshindwa ndio mnasema mko tayari kupambana na corona virus?? Ni hatari sana kunywa chang'aa wakati wa jua kali na ukiwa na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tujiulize laiti nchi yetu ingekuwa imepigwa na Ebola au Corona wangeturuhusu kukimbilia kwao?

Hii hali ni ya ajabu sana, wakati serikali hii inasuasua kuwarudisha watoto wetu walioko Wuhan (Sababu mojawapo ni kuhofia hao watoto kuleta maradhi nchini), hii ni double standard kubwa, iba maana tunaweka mbele pesa za kitalii kuliko usalama wa Taifa letu?

Wenzetu Wakenya wamesitisha safari za ndege zao China kuepuka kuleta maradhi nyumbani lakini sisi tumefumba macho kwa sababu ya kuogopa kuwaudhi wachina.
 
Hivi ndivyo Tz mnapambana. Hamtaki wenzenu kurudi nyumbani?

Hawa jamaa kwa tamaa ya vihela vya utalii watakuja kusababisha balaa ukanda huu, hapa wamegoma kuwarudisha Watanzania wao na huku wanaendelea kuwapokea Wachina na kujisifia jinsi utalii wa Wachina unanoga. Wenyewe bado hawana utaalam wa kuthibitisha hiyo homa, eti wanawapokea kisa wamevaa mask...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…