wataalam wa kiswahili naombeni mnisaidie swali hili,

wataalam wa kiswahili naombeni mnisaidie swali hili,

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
668
naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
 
  1. zote ni kamusi za lugha
  2. zote zinatoa fasili za
  3. zote zinatoa ufafanuzi wa misamiati
 
Back
Top Bottom