mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 668 Feb 19, 2014 #1 naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
M MR NDEE Member Joined Aug 2, 2011 Posts 54 Reaction score 21 Feb 21, 2014 #2 zote ni kamusi za lugha zote zinatoa fasili za zote zinatoa ufafanuzi wa misamiati