Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Ayategemee majanga gani labda akiamua kuagiza moja kwa moja labda,na kama kuna namna ya kumsaidia ni vyema wajuzi wakampa ushauri jinsi gani ya kufanya,ili aweze kutimiza ndoto zake.Kama mgeni na hii sekta, bora tu uzame show room ukavute mkoko fasta...
Gharama za Kuleta Bongo Zinarange kati ya USD 1500 hadi 1800 Kwahiyo andaaa USD 1600( 3.2m)
View attachment 441685
Pia Kodi ya TRA andaa kati ya 3.8m hadi 4.3m(kwa hii ya 2004 inabidi uwe na 4.2m)
View attachment 441687
Other Charges( Port Charges,Shiping Lines,PLate No na Agent Fees etc andaa kama Jiwe Tano=0.5m)
Grand Total = 8m.
Kivipi mkuu???usiwe na haraka utaliwa