profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,595 Reaction score 3,416 Jun 13, 2021 #1 Milango ya abiria ya noah road tourer, ikifunga haibani vizuri, hata mifumo ya umeme haifiki vizuri, ukifunga kuna uwazi, shida inaweza kuwa nini wataalam na ufumbuzi wake ni nini?msaada tafadhali.
Milango ya abiria ya noah road tourer, ikifunga haibani vizuri, hata mifumo ya umeme haifiki vizuri, ukifunga kuna uwazi, shida inaweza kuwa nini wataalam na ufumbuzi wake ni nini?msaada tafadhali.