incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari za mda huu wakuu. Kwanza kabisa nikiri kuwa asiyekubali kujifunza hafai kuishi katika dunia hii ya mabadiliko,
Leo katika pitapita zangu nikaona jengo flani ivi limeandikwa MINI SUPER MARKET.
Kidogo hapa kwa uelewa wangu wa kidato cha NNE maandiko haya yalinichanganya kidogo kwa swali kwamba maneno yenye dhana kinzani yanaambatanishwaje kuleta maana moja?
Maana ninavyojua neno MINI ni inferior Prefix na neno SUPER ni Superior Prefix
Kana kwamba vitu hivi kwa kiswahili Tunaweza kusema Ni viambishi awali vyenye dhana kinzani MINI, inadokeza dhana dunishi na SUPER inadokeza Dhana Kubwa,
Kwanini isingeandikwa MIN MARKET?
AU iandikwe SUPER MARKET?
Kwa maana kwamba ukishaweka neno MINI MARKET tayari sifa yake imeshatambulika haiwezi kufananishwa na SHOP au KIOSK.
HAPA PAMEKAAJE WAKUU MWANDISHI YUKO SAHIHI AU TUMEPIGWA?