mkuu hiyo ni kawaida yake lkn ili kujiridhisha fanya hivi washa gari harafu washa AC hapo lazima feni zote mbili zizunguke kama hazizunguki basi kuna shida mahala. au kama gari haina AC basi iwashe harafu ipige lesi au subilia mpaka mshale wa gauge ya temperature ufike kwenye nusu juu kidogo lazima fen zifungue kama hazifungui kuna shida.au kma utaeza chomoa switch ya THW huwa inakuwa karibu kabisa na hose ya maji inayotoka kwenye rejeta huwa inakuwa na rangi ya blueNina Nissan serena auto, leo nimegundua ninapoiwasha Gari feni ya kwenye (radiator) hazizunguki zote mbili, naomba kufahamu hii ni kawaida au kuna namna zinavyoweza kuanza kufanya kazi automatically zenyewe baada ya muda flani? NB mimi sio mtaalam wa magari hivyo hata kabla sikujua kama zilikuwa zinafanya kazi kwa mfumo upi.
Msaada wenu wakuu.
Asante mkuu nitakupa mrejeshomkuu hiyo ni kawaida yake lkn ili kujiridhisha fanya hivi washa gari harafu washa AC hapo lazima feni zote mbili zizunguke kama hazizunguki basi kuna shida mahala. au kama gari haina AC basi iwashe harafu ipige lesi au subilia mpaka mshale wa gauge ya temperature ufike kwenye nusu juu kidogo lazima fen zifungue kama hazifungui kuna shida.au kma utaeza chomoa switch ya THW huwa inakuwa karibu kabisa na hose ya maji inayotoka kwenye rejeta huwa inakuwa na rangi ya blue