Wataalam wa magonjwa ya akili, tangu jana nyumbani hatulali kaka amechanyikiwa hivyo ni vurugu tu

Nnani alianza kufikiri kumuacha mwingine?? Kama ni mke, hakuna dawa ya kumponya kakako. Dawa ni mke ashuke moyo amrudiye mume wake. Hakuna kitu kibaya kama wakati kakako alitegemea mmsaidie kumtuliza mkewe kumbe mkamruhusu kuondoka.
Pili, kama kaka ndiye chanzo cha talaka. huenda alidhani mkewe atang'ang'ania kwake kumbe mama ndo kafurahia utengano.
Anafikiri namna ya kumuomba warudiane. Itakuwa kimbembe. Lakini dawa ni kumrudisha mama
 
Hospital ya rufaa mbeya wana kitengo kizuri wengi wanapona nimeshuhudia.
 
Atakuja mzizi mkavu.atakwambieni mtieni bakora za mgongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…