Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
 
Kwanini aliye release video ali mute sauti kwanza? Lengo lilikuwa nini
 
Video nyingine hii
 
Kwa mfumo wa helicopter inaweza kufanya kazi kuruka hata kama haifanyi kazi sababu engine inajitegemea panga zipo kwa ajiri supports kidogo na kupunguza kukata upepo
 
Kwa mfumo wa helicopter inaweza kufanya kazi kuruka hata kama haifanyi kazi sababu engine inajitegemea panga zipo kwa ajiri supports kidogo na kupunguza kukata upepo
hiyo mechanism inaitwaje
 
Hamna cha physics wala mambo ya anga. Apo ni trick kwenye kipiga picha. Hapa labda wale ma photographer waje watuambie fps ni nini. Kiujumla ni kwamba speed ya kamera kupiga picha kwa sekunde ni sawa na speed ya hizo blades za helicopter zinavyo zinguka kwa sekunde ndo maana unaona zipo iyo. Blades za nyuma za helicopter zinaonekana zinazunguka kwa sababu zenyewe zina rotate fast kuli hizo za juu




Ni mambu tu vya camera hamana physics wa nini
 
Helicopter Rises Without Moving Rotor. The Optical Illusion is generated by the Video Camera Frame Rate that is Synchronized with the Turning Rotor Blades Frequency. A video is a fast sequence of frames, so single photos

The synchronization between the video frame rate and the rotor blades' angular speed means that every single frame is shoot when the rotor blades are in the same position





cc: I am Groot Mr Q pilato93 Jorge WIP
 
Jina lake limenitoka kidogo ila yale mafeni yanasaidi kwenye kuilift helicopter technically yakifeli helicopter inaweza kwenda umbali mrefe kidogo pasipo rotor na kutua pasipo tatizo
Okay chief
 
Back
Top Bottom