wataalam wa mapenzi msaada

Ballot

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
39
Reaction score
12
wakuu kuna kitu kinanisumbua sana!mimi sijao lakini umri umesogea'nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi'kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake nikifanya na mapenzi inakuwa shughuli pevu'yaani natafuna mzigo kinoma wakati mwingine inaweza kufika mpaka dakika 30'lakini nimekutana na mwanamke ambaye nahisi naweza kudumu naye'cha kushangaza yaani nikiingiza tu nakojoa hapo hapo'yaani mara tatu zote yanajirudia yaleyale'aibu tupu ndugu zangu tatizo ni ninii?mbona wengine tunadumu muda mrefu wengine ukiingiza tu unakojoa??
 
Usimalize utamu subiri expert wa mambo ya kuchelewa na mambo yakuchomoa waje nishawaitaa.
 
Hili game tamu ngoja nibaki hapa hapa kuangalia litaishaje maana sina points kwa hili!
 
Jaribu kubana pumzi wakati wa in and out, sio unahema km........................
 
huyo kweli umempenda yaani kadubwi na goli...weee noumaaaaaaaa!!!!!!
 
Tatzo umeathiriwa na punyeto mkuu.
 
yaniwewe! nomakweli yani huyodemu umemzimiambaya, jitaidiwakati unadumbwi..uondoe mawazoyako hapoyani uwekembali hisiazako utafanikiwa,
 
Tatzo umeathiriwa na punyeto mkuu.

Si kweli mkuu'punyeto niliacha zamani sana'wakuu hili swala linaweza kuwa na uhusiano napombe??manake nimecha pombe week chache zilizopita na huyu demu ndio wa kwanza tangu nimecha pombe
 
Si kweli mkuu'punyeto niliacha zamani sana'wakuu hili swala linaweza kuwa na uhusiano napombe??manake nimecha pombe week chache zilizopita na huyu demu ndio wa kwanza tangu nimecha pombe

hebu jaribu kiroba + valuer naka chigala chipoti kwa mbaali tuone km perfomance itashuka
 
bac kama ulikuam2wapombe, naumeacha sasa kablahujakalia mzigo gonga red bul mojabaridi namaji yako makubwa af ukalie mzigo utafraimwenyewe,
 
punguza wasi wasi na ujiamini , inaonekana kila mkionana kuna kitu kiko akili mwako hasa uoga .. jaribu kuwa nae kwa muda piga story punguza mawazo anza gemu

je ukimaliza hilo la kwanza la pili nalo linakuwa sawa na la kwanza???
 
Si kweli mkuu'punyeto niliacha zamani sana'wakuu hili swala linaweza kuwa na uhusiano napombe??manake nimecha pombe week chache zilizopita na huyu demu ndio wa kwanza tangu nimecha pombe

uhusiano wa pombe na tatizo lako uko hivi: Kwa kifupi kuna kauoga ambako unako na wakati ulipokuwa unakunywa ulikuwa unapata ujasiri kutoka kwenye mipombe, hivyo ukawa unaweza kudumu kwa muda mrefu, ulivyo acha pombe kauoga kako kanashindwa kutoka hivyo unajikuta unamaliza haraka. Hivyo basi, nakushauri ujianzishie life style mpya kama kufanya mazoezi ya viungo ambayo yatakusaidia ku boost confidence na hivyo baada ya muda utaweza kudumu tena kwenye kazi ya uvunjaji wa amri ya sita na huyo "umpendaye"

Good luck.
TANMO
 
Aisee....Ngoja tuendelee kuwasilikizia maprofesa....
 
Ballot, je huwa unatumia muda mwingi kuwa nae au ndo mambo ya kuonana na kukurupushiana rum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…