Tatizo la takataka za chupa za plastic lilipatikana baada ya kampuni za uzalishaji kuamua ku-recycle hivyo kuwapa "ajira" waokota makopo.
Lakini kuna hizi chupa za energy drink. Mo Energy na Azam Energy hizi huwekwa kwenye chupa za plastic za rangi ambazo kamwe sio dili kwa waokota makopo.
Wanamazingira mmeshindwa kuwashawishi hizi kampuni kubadili chupa zao ili nazo ziwe recycled?
Kwa kweli zinaongoza kwa uchafuzi wa mazingira.