Mkuu inawezekana na ni kawaida sana, huwa inatokea refer au msaidizi wake akajeruhiwa, mchezo ubasimama na hatua stahiki inachukuliwa! hata kwa mchezaji husika! Kama ulifuatilia, fainali ya UEFA kati ya MAN U na CHELSEA, Russia, baridi ilikuwa kali sana, kiasi refa alikuwa akisimamisha mchezo mara kwa mara! Na pia Brazil ktk WC, joto lilikuwa kali sana, na kwenyewe refa alikuwa akisimamisha mchezo kwa ajili ya kunywa ama kujimwagia maji mwilini! Ni kawaida, ni kama kondom kupasuka ktkt ya game!