structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Nafuatilia mjala kupitia tbc,na wataalamu wa mitaalaa wameshindwa kutoa majibu muafaka kwenye maswali ya msingi. Sehemu ya udhaifu walionesha ni pamoja na 1; kukataa kukiri kuwa wamechelewa kutoa ufafanuzi kahusu mitaala ya elimu tz mpaka wanasiasa wakaibua hoja hii. 2:Kutoa maji dhaifu,mf wanasema kimsingi sio lazima mwl kuwa na mtaala. Je mitaala hiyo ni ya kina nani? Kama mwl ndie mtekelezaji mkuu wa mitaala kwa nn asiufahamu huo mtaal? 3😛ia wanakanusha au wanasita kukiri juu ya uwepo wa watu wanao andika,chapisha na kuhariri vitabu vyao wao wenyewe bila kushirikisha wadau wengine. 4: Wamedaii kama kuna mamlaka (naamini ni kutoka kwao) ya kuthibitisha vitabu ( EMAC) lakini wameshindwa kueleza ni kwanini vitabu ambovyo vimethibitishwa na EMAC kwenye eneo moja na darasa moja vinatofautina. Mf geog oxford na ujuzi vinatofautina sana juu ya types of human activities.