Wataalam wa mtaala wachemka

structuralist

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,230
Reaction score
907
Nafuatilia mjala kupitia tbc,na wataalamu wa mitaalaa wameshindwa kutoa majibu muafaka kwenye maswali ya msingi. Sehemu ya udhaifu walionesha ni pamoja na 1; kukataa kukiri kuwa wamechelewa kutoa ufafanuzi kahusu mitaala ya elimu tz mpaka wanasiasa wakaibua hoja hii. 2:Kutoa maji dhaifu,mf wanasema kimsingi sio lazima mwl kuwa na mtaala. Je mitaala hiyo ni ya kina nani? Kama mwl ndie mtekelezaji mkuu wa mitaala kwa nn asiufahamu huo mtaal? 3😛ia wanakanusha au wanasita kukiri juu ya uwepo wa watu wanao andika,chapisha na kuhariri vitabu vyao wao wenyewe bila kushirikisha wadau wengine. 4: Wamedaii kama kuna mamlaka (naamini ni kutoka kwao) ya kuthibitisha vitabu ( EMAC) lakini wameshindwa kueleza ni kwanini vitabu ambovyo vimethibitishwa na EMAC kwenye eneo moja na darasa moja vinatofautina. Mf geog oxford na ujuzi vinatofautina sana juu ya types of human activities.
 
Wataalamu gani wasio na tija, siku zote nachukia mtu kutotumia taaluma yake kwa manufaa ya taifa, hawa wataalamu wamepumbaa kimawazo kabisa, ninachoamini ni kwamba it is only teacher who translates the written formal curriculum real classroom students activities, so, final curriculum implementer ni mwalimu sasa ataimplement mitaala ipi? Waaache ujinga katika hili, kupita kwao shule isiwe tabu.
 
Inawezekana vipi mwalimu afundishe bila mtaala? Sehemu zote mpaka vyuoni kuna mtaala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…