Unity and solidarity
Member
- Dec 3, 2024
- 7
- 3
Mwanzo kabisa, nikusalimieni, hope nyote ni wazima na wagonjwa mungu akuzidishieni wepesi katika afya zenu ili muendelee na majukumu yenu ya kila siku
Pasi na kupoteza muda, niende kwenye lengo la andiko, japokuwa kuwa unaweza kuwa mrefu lakini nitajitahidi kulifupisha kidogo
Wakuu niko njia panda nashindwa kuelewa nini cha kufanya, lakini nimeichukulia jamiiforums kama sehemu ya maisha yangu ya kila siku,na sehemu ya kupata ujuzi, kana motto wetu usemavyo "the home of great thinkers'", naamini huenda nikafanya maamuzi sahihi baada ya kupata mawazo yenu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo,mwaka wa kwanza,tena mwanafunzi wa Diploma,kada ya afya (diagnostic radiography)
Kwa kawaida ni moja ya waathirika wa kutopata mikopo,siku ya kufa nyani miti yote nayo huteleza, bahati iliyo mbaya familia yetu ilifutwa kwenye mpango mapema mwezi juni 2024, baada ya muongo mmoja na kidogo, hivyo nikawa nimekosa kigezo ingawa nilijaribu kutuma maombi
Huenda nilikosea katika kufanya maamuzi kipindi niko kidato cha nne lakini ndo imeshatokea hii inatokana na kukosa watu wa karibu wenye uelewa sahihi baina ya advance ama college ingawa ndoto yangu kubwa ni udaktari so huenda mihemko yangu ya utoto ndio sababu lakini sina namna zaidi ya kuikabili changamoto ingawa matokeo yangu yalikuwa mazuri tu, division one lakini nilikosa vyuo vya serikali ambayo ni nafuu kitu kilichonipelekea kuchagua private colleges
Kipindi nachagua vyuo ni mimi tu ndiye niliyekuwa najaribu kuapply kutokana na familia yetu ndo zile za kawaida,sasa issue imekaa hivi wakuu,chuo ninachosoma ada yake ni 2.6M na in alipwa kwa awamu 4 yani 655k kila baada ya miezi miwili.na hauruhusiwi kufanya mitihani kabla ya kumaliza ada,nililipa kiasi kidg kipindi nalipoti ili nianze masomo sasa wana saikolojia issue yangu ni hivi nashindwa kulifikisha tatizo hili nyumbn kuwaambia kuwa inatakiwa nilipe ile ada ilobaki ilinifanye mitihani wakati nikikumbk kuwa mwezi wa kwanza natakiwa tena ni deposit 655k nyingn kitu ambacho naona probability ya ku afford hapo mbele ni ndogo so ni sawa na kuendelea kumpa hasara bi mkubwa kwahiyo nawaza niache masomo
Yani nikitaka nimalizie hicho kiasi ili nifanye mitihani naweza ila sasa probability ya kumalizia yote ndo kipengele,nimejaribu kuandika barua kwa uongozi wa chuo ili niruhusiwe kusoma na mm nitaendelea kulipa kidogo mpaka mwisho wa mwaka nitakuwa nimemaliza but sijajibiwa chochote,so niko njia panda nilipe ada nifanye mitihani au niache masomo tu ingawa malengo ni gharama lakini suala hili linani athiri kisaikilojia kiasi kwamba sometimes unatembea unaongea alone,ninakosa hata mtu wa kumwambia hata nyumbn nashindwa kumwambia mother kwa sababu nawaza niache masomo
Hivyo wataalam tushauriane nisije kufanya maamuzi ambayo sio sahihi
Pia mnisamehe nilijitahidi kufupisha uzi lakini nimeshindwa kwa sababu tu ya hisia, naamin mawazo yenu yatanisaidia kwa namna moja ama nyingn