Wataalam wa Rangi za kwenye Rims

Wataalam wa Rangi za kwenye Rims

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Nina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha..

Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata wataakamu au je naweza piga rangi mi mwenyewe hizi za kununua kwenye kopo?
 
Silver haishiki rangi yoyote ikadumu labda uisugue sana na msasaa mpaka ilainike kabisa
 
Ipo ivi mmi zangu ziliwai kuwa silver nikabidili zikawa black flan ivi nzuri cha msingi achan na spray nenda kwa wapiga rangi wanaoutumia compressor then wanasugua vzr na msasa wanapiga rangi akilmz rangi anapiga clear ndo inafanya rangi isibandukeee harak mie miez 6 now presha daily
 
Back
Top Bottom