Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Silver haishiki rangi yoyote ikadumu labda uisugue sana na msasaa mpaka ilainike kabisaNina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha..
Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata wataakamu au je naweza piga rangi mi mwenyewe hizi za kununua kwenye kopo?
Daaah... So hapo nirudishe ile ile au nifanyeje? Maana wasuguaji wenyewe wapo wapi miaka hii vijana wote hawana nguvu....Silver haishiki rangi yoyote ikadumu labda uisugue sana na msasaa mpaka ilainike kabisa
Rudisha silver yake ya asiliDaaah... So hapo nirudishe ile ile au nifanyeje? Maana wasuguaji wenyewe wapo wapi miaka hii vijana wote hawana nguvu....
Zinauzwa madukani?Rudisha silver yake ya asili
ZipoZinauzwa madukani?
Ok. Labda itabid nitafute hizoZipo
YeahOk. Labda itabid nitafute hizo