Bandabichi JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 230 Reaction score 42 Feb 20, 2013 #1 Heshima mbele wakuu. Hii maneno inanipa taabu sana. CONCEPTUAL FRAMEWORK katika kukamilisha concept note ya title yangu wakuu. Naandaaje conceptual framework. Tatizo lipo kwenye relation kati ya concept na variables tafadhali. natanguliza shukrani.
Heshima mbele wakuu. Hii maneno inanipa taabu sana. CONCEPTUAL FRAMEWORK katika kukamilisha concept note ya title yangu wakuu. Naandaaje conceptual framework. Tatizo lipo kwenye relation kati ya concept na variables tafadhali. natanguliza shukrani.
24th DECEMBER JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 401 Reaction score 167 Feb 21, 2013 #2 Hiyo kitu ni pasua kichwa aisee ngoja tusubiri wataalam.