Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine huzimia kabisa🤣🤣🤣
Dah
Kama nakuelewa kwa mbali lakini hayo mengine kwanini isiwe kucheka! Iwe kujamba na haja ndogo?kwa maaana matendo yote hayo yasiyo ya hiyari huratibiwa na ubongo wa nyuma huwa kuna ram kuzidiwa uwezo kujikuta inashindwa kusimamia mambo yote kwa wakati mmoja na kuachana na mengine.
Oooh tumbo la uzazi lilifungokaKuna janga tulipataga office kwetu kipindi Cha awamu ya bwana yule mfilisi watu,mwaka 2016, Sasa ilikuja task force ya Tra na wengineo kufanya upekuzi home baada yakufanya upekuzi godown kwetu,
Basi uwezi amini wife alipata period gafla kwa ile hofu
hutokea pia,mtu hulia,anaweza akacheka,akatoa kamasi au kwa wanamama akaingia mwezini ama kumwaga manii kwa wanaume.Kama nakuelewa kwa mbali lakini hayo mengine kwanini isiwe kucheka! Iwe kujamba na haja ndogo?
hutokea pia,mtu hulia,anaweza akacheka,akatoa kamasi au kwa wanamama akaingia mwezini ama kumwaga manii kwa wanaume.
Ebu iweke kitaalamHkn huuo uhisiano wa kujamba .labda usema ushikwe tumbo la hofu tu Kama Kuna kitu kimekuja gafla na sikutegeme huwa nasikia haja I don't know why it should happen