Mkuu, sio Tanzania tu bali takriban ni duniani kote.Wataalamu wengi wa Tanzania sijui kwanini hawana hata kitabu walicho andika. Wapowapo tu
Nafikiri sio kwa dunia nzima kwani wenzetu (Ulaya na marekani) watu wa Saiyance kwa waliosoma vizuri hadi kupata PhD huwa hawastaafu, huachwa hadi wapoteze uwezo wao wa kufanya kazi husika.Mkuu, sio Tanzania tu bali takriban ni duniani kote.
1. Wataalam wengi wanapo staafu hujikuta wanaanza aina ya maisha mapya tofauti na kazi za Ofisini e.g. hakuna routine work kama za Ofisini, Hakuna mtu...
Naunga mkono hoja hiiNafikiri ipo haja ya kutengeneza mazingira ya kupata feed back ya wataalam walichojifunza wakati wa kutekeleza majukumu yao hadi kustaafu na kupewa nafasi ya kupendekeza maboresho. La
1. Wataalam waliostaafu (isiwe ni kwa wanasayansi tu bali kwa fani zote) wangebaki kama "Consultants" na kila anapohitajika katika shughuli inayohusu fani yake awe analipwa.nafikiri sio kwa dunia nzima kwani wenzetu ( Ulaya na marekani) watu wa Saiyance kwa waliosoma vizuri hadi kupata phD huwa hawastaafu, huachwa hadi wapoteze uwezo wao wa kufanya kazi husika...
Hiyo namba nne inaathiri wengi. Wengi tu. Mtu ana miaka 60 kastaafu udaktari anafikiria kwenda kuanzisha dispensary au pharmacy wakati anaona zingine zimeshamiri. Anaona kachelewa.Mkuu, sio Tanzania tu bali takriban ni duniani kote.
1. Wataalam wengi wanapo staafu hujikuta wanaanza aina ya maisha mapya tofauti na kazi za Ofisini e.g. hakuna routine work kama za Ofisini, Hakuna mtu(Boss) anayekufuatilia utendaji wako i.e. husukumwi na yeyote kufanya jambo/kazi n.k. na hatimaye kutolea Taarifa ya ulichokifanya.
2. Wengi hujikuta mwisho wa mwezi wanapata kitu kidogo sana (pension tu) ukilinganisha na alichokuwa akipata alipokuwa Ofisini/mwajiriwa (Mshahara , Night Outs, Allowances, n.k......Kutokana na hilo wengi wanakuwa ni wahangaikaji lakini ramani hazisomi kwa hiyo hawana utulivu wa kuweza kuandika vitabu. Hata hivyo wataandika kwa ajili ya nani?
3. Wengi huwa frustrated kutokana na ile hali kwamba hawana Umaarufu tena katika Jamii na ndo mana hata ww unasema wapowapo tu.
4. Wengi wanakuwa Localised/sedentary i.e. Huwa hawasafiri-safiri sana na muda mwingi wanaonekana kana kwamba wameridhika - sio wachakarikaji kwani kila anachofikiria kinakuwa kama ni too late.