Habari zenu manguli wa sheria?
Naomba msaada mama yangu mzazi miaka 10 iliyopita alianzisha kesi kati yake na Taasisi moja kubwa sana ya kidini nchini! Taasisi hiyo iliuziwa kiwanja kikubwa sana na mzee wangu pasipo kumshirikisha bimkubwa nakati ni wana ndoa halali na eneo hilo walinunua pamoja wakiwa wana ndoa sasa kesi ilikuwa kwenye hatua ya majibishano ya kisheria kwa maandishi baina ya wakili wa bimkubwa na wakili alie husika katika uuzaji wa eneo hilo kinyume cha sheria.
Kuna muda bimkubwa aka stop kwanza kuendelea na kesi akawa yupo busy kumuuguza mzee ambae ana maradh ya kupooza sasa kuna siku bimkubwa aliniita na kunikabidh nyaraka zote mikataba batili ya mauziano ya kiwanja kile pamoja na maandishi ya majibizano ya kisheria baina ya mawakili baada ya kunikabidh akaniambia ikitokea yeye hayupo duniani basi huko mbeleni nikomae na hii kesi maana kuna haki yetu sisi watoto wake
Sasa juzi katika kupekua documents ndo nikakuta hili file la hii kesi lina documents zote muhimu ukiwepo mkataba wa uhamisho wa umiliki ukiwa umesainiwa na kuwekwa picha ya mzee tu bila bimkubwa kushirikiahwa chochote! Sasa wakuu bimkubwa alishatangulia mbele za haki miaka 5 iliyopita! je nianze na hii kesi kudai haki yetuu maana hiyo Taasisi hilo eneo kubwa sana wamejenga kanisa, shule nk.
WATAALAM NAOMBENI MAWAZO YENU NA USHAURI WENU WA KISHERIA PIA MIMI LENGO LANGU SIO KWAMBA NATAKA ENEO LIRUDI KWETU HAPANA NATAKA TUKAE MEZANI UPYA ILI HAKI YA BIMKUBWA IPATIKANE SABAB ENEO WALILINUNUA PAMOJA NA MZEE WAKIWA WANANDOA.