Wataalam wa technology msaadaplz juu ya aka kasimu kangu

Wataalam wa technology msaadaplz juu ya aka kasimu kangu

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Habar za asubuh wana jf...!

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04

Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote ili nianze ku install vitu vingine upya

Sasa baada ya kumaliza huo mchakato mzima wa ku restore na kufanya installation upya, simu yangu ikapata shida upande wa upakuaji wa vitu (downloads)

Mfano nikitaka kupakua kitu kupitia google inaniletea meseji inayosema

No apps found to open link au nikiomba nitumiwe link ili ni download, nikitumiwa hiyo link nikitaka ku download natumiwa ujumbe ule ule kwamba

No app found to open link

Nikajaribu kuwapigiahuduma kwa wateja jibu walilonipa sijaridhishwa nalo kabisa, wameniambia niende kwa ma i.t

Sasa nikaona ni vyema niweke bandiko umu kwenye jukwaa pendwa la technology kwa kuamini kwamba ufimbuzi wa changamoto yangu utapatikana

Sababu jf hawajawahi kushindwa

Asanten na karibuni kwa ushauri
 
Mimi natumia 04e hapa ila hizi simu kuwa slow sio shida za data zako ni simu zenyewe maana nitecho au infinix zilizo changamka, napanga nihamie iphone huko ndio sajawahi kuhisi kuwa slow

Chamsingi ni kuwa update simu yako na google services
 
Okay poa mkuu
 
Back
Top Bottom