Wataalam wa Toyota crown R, taa hii inaashiria nini?

Wataalam wa Toyota crown R, taa hii inaashiria nini?

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
615
Reaction score
624
Wana jamii forums naomba kujui hii alama au taa inamaanisha nn kwenye gari tajwa hapo juu,,
Ilikua inawaka na kuzima,,sasa hivi inawaka tu haizimi
20190129_072657.jpg
 
Kama unasikia mkwaruzo wowote gari ikitembea ujuebreki pads zimeisha mzee baba... Kama husikii chochote huenda hand breki yako haishuki mpaka mwisho so huenda zile lining zimeisha
 
Hiyo ni taa ya tahadhari ikimaanisha kuna kitu hakiko sawa, cha kwanza ni foot brake, cha pili ni sensor za milango, cha tatu ni switch za mikanda ,nne ni upepo wa matairi
 
Asanteni sana kwa mawazo yenu

Baada ya kufatilia fundi emegundua ni likeji ya oil filter,,Oil filter ilikua inalikeji so oil ilikua inavuja na inadondokea kwenye ile cover ya chini inayo funika engine,,

Hii inaaaman bila ushauri wenu hasa muheshimiwa@FRANCIS DA DON ningeendelea na safari mpaka Taa ya check engine ingewaka

Asnateni sana
 
Back
Top Bottom