WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 615
- 624
Hamna kitu kama hicho.Nahisi ni tairi limepungua upepo. Ila wasubirie wanakuja.
Hahaha msaidie muuluza swali acha ligi.Hamna kitu kama hicho.
Ingekuwa ndege tungesema ni 'MASTER CAUTION' , alama ya hatari kabisa!Kafanye diagnosis kwenye mashine...master warning hii