Unafikiri ni kwanini serikali yetu haichukui hatua stahiki?Tatizo lipo kwenye Much Imports than Exports
Ni wakati mrefu umepita hatujawa tegemeo kuu la bidhaa fulani Specific Duniani jambo ambalo hufanya Currency ya Taifa husika kuwa na thamani na Dola kubadilishwa kwa kiwango Cha kawaida kwa kuwa Demand ya Shillingi yetu kama foreign Currency kwenye Trade ingekuwa kubwa
Mimi ninaomba Mtoa Uzi tuambie sekta ipi Tanzania umeona wewe inafanya vyema kwenye Biashara za kimataifa Kati ya Tanzania na Nchi zingine.
Si Uvuvi, Kilimo, Madini, Usafirishaji na Mawasiliano, Bidhaa za nyumbani na huduma Viwandani, Mahospitalini, Mashuleni na Vyuoni pamoja na Maeneo mengine Mengi
Huwezi kuagiza Furniture CHINA au kutoka Arabuni kila Mwaka na ukaruhusu Maendeleo duni ya Uzalishaji wa Misitu na Viwanda vya Kati Chakataji
Tunakoelekea itafika Mahali YAI moja liuzwe TZS 3,000/= na hii ndio Inflation wanasemaga
Wenzetu wale tunaowalilia wanaweza kufanya zaidi haya wanayoyafanya ili tuzidi kupotea because Mfumuko huwa kuna MAZINGIRA yakitengenezwa unapaa kwa kasi bila WARNING
Mimi ninavyoiona kwanza Serikali Ina Madaftari Mengi sana hasa ya kushughulikia Mienendo ya kisiasa nchini na la kushangaza yametengenezwa Matatizo Mengine yanayopoteza tu wakati, Nguvu kazi na Maisha ya watuUnafikiri ni kwanini serikali yetu haichukui hatua stahiki?
Haya uliyochambua ni Kama nchi iliyowekewa vikwazo!Tatizo lipo kwenye Much Imports than Exports
Ni wakati mrefu umepita hatujawa tegemeo kuu la bidhaa fulani Specific Duniani jambo ambalo hufanya Currency ya Taifa husika kuwa na thamani na Dola kubadilishwa kwa kiwango Cha kawaida kwa kuwa Demand ya Shillingi yetu kama foreign Currency kwenye Trade ingekuwa kubwa
Mimi ninaomba Mtoa Uzi tuambie sekta ipi Tanzania umeona wewe inafanya vyema kwenye Biashara za kimataifa Kati ya Tanzania na Nchi zingine.
Si Uvuvi, Kilimo, Madini, Usafirishaji na Mawasiliano, Bidhaa za nyumbani na huduma Viwandani, Mahospitalini, Mashuleni na Vyuoni pamoja na Maeneo mengine Mengi
Huwezi kuagiza Furniture CHINA au kutoka Arabuni kila Mwaka na ukaruhusu Maendeleo duni ya Uzalishaji wa Misitu na Viwanda vya Kati Chakataji
Tunakoelekea itafika Mahali YAI moja liuzwe TZS 3,000/= na hii ndio Inflation wanasemaga
Wenzetu wale tunaowalilia wanaweza kufanya zaidi ya haya wanayoyafanya ili tuzidi kupotea because Mfumuko huwa kuna MAZINGIRA yakitengenezwa unapaa kwa kasi bila WARNING
Yetu haina hata vikwazo; lakini Mkuu Ben hatujawa na nafuu juu ya kupanda kwa bei za bidhaaHaya uliyochambua ni Kama nchi iliyowekewa vikwazo...!
Ukiona unapendwa sana na wale jamaa ujue wewe ni fursa kwao.Yetu haina hata vikwazo; lakini Mkuu Ben hatujawa na nafuu juu ya kupanda kwa bei za bidhaa
Mkuu wa Nchi kila Mkutano wa kimataifa anapata nafasi ya kuongea lakini Watanzania lazima tujue kuwa sisi tunapendelewa sana na tunapendwa huko Duniani Mno
Kuna mahali tukifika tutaishi kama Wafalme, yaani watu watafanya Biashara na hili Taifa zuri kwa miaka mingi na tutafurahi jinsi ilivyo Amani kuishi bila mahangaiko makubwa ya aina ile ya sasa