Wataalam wa ultra sound naombeni ushauri wenu juu ya matokeo haya je yupo salama?

Kwanza wewe hauko salama na hilo ndole ngumba lako. Yawezekana hiyo ultrasound ni yako. Nikuambie tuu subiri waje.
 
Kwanza wewe hauko salama na hilo ndole ngumba lako. Yawezekana hiyo ultrasound ni yako. Nikuambie tuu subiri waje.
Mkuu usilete utani mimi sio dem hiyo ni picha ya ulatra sound ya girl wangu so nahitaji ushauri sio utani
 
Mkuu usilete utani mimi sio dem hiyo ni picha ya ulatra sound ya girl wangu so nahitaji ushauri sio utani
SASA TUAMBE KABLA YA ULTRASOUND ALIKUWA NA SHIDA GANI MPAKA MUMPELEKE KWENYE hiyo. la sivyo hatuwezi kujua na kushauri lolote
 
Kwanza wewe hauko salama na hilo ndole ngumba lako. Yawezekana hiyo ultrasound ni yako. Nikuambie tuu subiri waje.
Kidole kipo wapi hapo mkuu[emoji23][emoji23]
 
Hivi huko hospitali wameshindwa kukushauri mpk uje huku kwa wanazengwe ndio tukushauri? Anyway mkeo ana kiuno kizuri mashallah
 
Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tumbo kwa mda wa wiki na kupata hedhi ,mara nyingi isivyo kawaida niliamua kumpeleka hospitali na baada ya kupimwa nikaambiwa ana
Ushauri kwako Mtoa Mada:
Kuna vitu huhitaji kuweka humu kuomba ushauri has masuala yahusuyo Afya ya mtu wako wakaribu; Nivyema ungepita Hospitali mbili tatu kabla ya kuleta humu ili upate ushauri, au Upate doctor ambaye atleast unaweza kuona credibility yake. But si Jambo jema kuleta Serious issue kama Ya Mke wako kwenye jukwaa ili kupata Ushauri, Uwezekano wa kusaidika kwa Uhakika ni Mdogo, Believe me.
Anza tabia ya Ku-deal na mambo critical bila kuhusisha mawazo ya wana Mitandao ya kijamii, Instead uwe unatumia Content surfing ili kupata details ya au Dawa au Tatizo la mama, litakupa mwanga; Najua Daktari ameshatoa ABC's kuhusu ugonjwa so hapo ndo starting point kama unataka kufahamu.

Kama unabisha angalia comment ngapi zimekusaidia hadi sasa.
NOTE: JF siyo ya ku-take for granted hasa kwa critical issue, especially inahusu afya tena ya uzazi wa mke wako.
 
Ok mkuu
 
Fuata ushauri wa mtabibu wako wengine wote watakudanganya tu
 

Exactly
Yani vitu confidential ambavyo mtu anaweza kuvimaliza mwenyewe anavileta social media, sijui kungekuwa hamna social media wangeandika Nakala magazetini?
 
=========================
vitu vingine ni private issues, ukiwa hospital ukaona dr ni kama hujamuelewa jaribu kumtafuta doctor mwingine privately hata kwa muda ambao si wa kazi akusaidie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…