Wataalam wanapogeuka Miungu Watu

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
946
Reaction score
771
Kuna kitu nakiona kinaendelea ambacho kisipoangaliwa kinaweza kuleta madhara makubwa. ...

Kumekuwa na kikundi cha watu wanaoitwa maspecialist wa magonjwa mbalimbali . ..hiki kikundi cha watu mara nyingi ni watumishi wa umma ...lakini jambo la ajabu wanakuwa na vijiwe vyao mtaani ambavyo wagonjwa wanaelekezwa huko.

Kwa kuwa taaluma zetu ni kwa manufaa ya umma ni vyema ikawa inapatikana kwenye hospitali za umma tu na sio kuwa na double standard..

Napendekeza Kama mtaalam ni mwajiriwa wa serikali asiruhusiwe ku practice privately ili kuleta tija kwenye vituo vya serikali.
 
Hehehe... Akale wapi? Afanye nn muda wa kazi ukiisha? Acha asaidie watu
 
Nasubiri Mh. Asome hii post na kuifanyia kazi najua shida ambazo watu wanapata ...hawa wataalam wanatumia utaalamu wao kujitajirisha na sio kutoa huduma. ...pole kama nimegusa maslahi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…