#COVID19 Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

#COVID19 Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
232
Reaction score
119
Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:-

Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content)

Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake.

Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo.

Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi chanjo.

Hivi nini kinaweza kuzaliwa na hizi chanjo.

Je, waliochanjwa sasa ni risk free au bado tuko sawa.

Rumours za impotence zikoje. Tujue kulinda kizazi chetu.
 
Back
Top Bottom