The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mungu yupoIla bangi SI nzuri hata kwa afya ya ubongo
[emoji23][emoji23]Kuna siku nilivuta bangi nikaskia kama ubongo unawasha. Nikawa najipiga piga kichwani. Ila sikuacha na sitoacha.
umevuta kwa miaka mingapi?Kuna siku nilivuta bangi nikaskia kama ubongo unawasha. Nikawa najipiga piga kichwani. Ila sikuacha na sitoacha.
Bora kumoka! siku moja njoo pande za huku".Kuna siku nilivuta bangi nikaskia kama ubongo unawasha. Nikawa najipiga piga kichwani. Ila sikuacha na sitoacha.
Aisee we noma maana umetukumbusha vitu vinavyotuua bila kujijua huku tukiiponda bangi ambayo wengi huwa hatuivutiUSITUTISHE: Kumbuka hata kula wali unakuwa unajiweka kwenye hatari ya kuongeza uzito unaoweza kukufanya upate blood pressure. Ongeza vyakula vyote vya wanga navyo ni hatari kwenye kujaza gesi tumboni na shida zingine hatari.
Kunywa soda kunaweza kukufanya uugue Kisukari kwasababu ya uwepo wa sukari nyingi ndani yake.
Majani ya chai yanayo madini ya caffeine ambayo wataalamu wa afya wanajua shida yake kiafya.
Kula nyama kwa wingi hasa ile nyekundu bado ni tatizo kwa afya ya mwanadamu.
Kula mboga za majani ni tatizo hasa endapo ile sumu itakuwa haijakwisha vizuri ambayo hutumiwa kustawisha na kuua vijidudu vishambuliavyo mboga hizo.
Kuvuta sigara ndiyo hatari kabisa kwa ile nikotini iliyomo kwenye mmea wa tumbaku (kuna kansa ya mapafu).
Kunywa pombe napo ndiyo hatari isiyohitaji hata mjadala.
SWALI: Unataka tutumie nini kilicho salama? Au ni research kubaini watetezi wa mmea wa bangi?
Soma na jamaa wengine niliona wameandika kwenye link ifuatayo:
Top 10 harmful foods
apo una usingizia mmeaNamuonea huruma mzee tyson
Anakula bange alafu anataka kurudi ulingoni. Asije akafia kwenye ring
Bora kumoka! siku moja njoo pande za huku".
hahahahaha utakua ulivuta kushabu weed aina shida inategemeana na kichwa chako labd kiwe kichwa panziKuna siku nilivuta bangi nikaskia kama ubongo unawasha. Nikawa najipiga piga kichwani. Ila sikuacha na sitoacha.
fact we steel smoke weed to reduce sressUSITUTISHE: Kumbuka hata kula wali unakuwa unajiweka kwenye hatari ya kuongeza uzito unaoweza kukufanya upate blood pressure. Ongeza vyakula vyote vya wanga navyo ni hatari kwenye kujaza gesi tumboni na shida zingine hatari.
Kunywa soda kunaweza kukufanya uugue Kisukari kwasababu ya uwepo wa sukari nyingi ndani yake.
Majani ya chai yanayo madini ya caffeine ambayo wataalamu wa afya wanajua shida yake kiafya.
Kula nyama kwa wingi hasa ile nyekundu bado ni tatizo kwa afya ya mwanadamu.
Kula mboga za majani ni tatizo hasa endapo ile sumu itakuwa haijakwisha vizuri ambayo hutumiwa kustawisha na kuua vijidudu vishambuliavyo mboga hizo.
Kuvuta sigara ndiyo hatari kabisa kwa ile nikotini iliyomo kwenye mmea wa tumbaku (kuna kansa ya mapafu).
Kunywa pombe napo ndiyo hatari isiyohitaji hata mjadala.
SWALI: Unataka tutumie nini kilicho salama? Au ni research kubaini watetezi wa mmea wa bangi?
Soma na jamaa wengine niliona wameandika kwenye link ifuatayo:
Top 10 harmful foods
umetumia kwa muda gani?Hamna starehe tamu kama bangi,kwanza ni starehe isiyo na gharama.Onyo vuta bangi bila kuchanganya na kilevi chochote utaifurahia.
Haha mkuu siku moja vuta usikilizie zile hisia nna uhakika hutakuja kuisema vibaya bangi(dawa) humu.
zipBora kumoka! siku moja njoo pande za huku".
Mwaka wa tano huu bossumetumia kwa muda gani?