#COVID19 Wataalamu: Kirusi cha Omicron kitashusha ufanisi wa chanjo kwa 40%

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katibu wa Nchi, Afya na Jamii wa Uingereza Sajid Javid amesema aina mpya ya kirusi cha #COVID19, Omicron ni kikali kuliko virusi vilivyotangulia

Wataalamu wa Afya wamesema kirusi hicho kinaweza kupingana na chanjo zilizopo na kushusha ufanisi wa chanjo kwa 40%

Nchi kadhaa zimechukua hatua mbalimbali ikiwemo kuzuia safari kutoka nchi za kusini mwa Afrika ambapo kirusi hicho kimegunduliwa

===
‘Omicron’ Covid variant could be worst-ever - making vaccines 40% less effective, scientists say

The UK Health Sec. sounded the alarm over the new B.1.1.529 variant of Covid - warning it could be more vaccine resistant and transmissible than any version before. (Daily Mail)

"Our scientists are deeply concerned about this variant. I'm concerned, of course, that's one of the reasons we have taken this action today," the Health Sec. Sajid Javid said.

Multiple countries banned flights from southern Africa Friday, where the variant was first detected.

RT
 
Sa.ia apige lick down..funga biashara zote..movements angalu kwa mwezi
 
Hiyo ni habari njema sana kwetu sisi wapinga chanjo tunataka wanaoshabikia chanjo feki za kovidi akili ziwakae sawa
 
Mi nimechanja J J.nimeangalia kazi yake ni kuweka RNDNA KAZI yake ni kuweka miiba na kufanya lile futa la covid kutokaa.
 
Hiyo ni habari njema sana kwetu sisi wapinga chanjo tunataka wanaoshabikia chanjo feki za kovidi akili ziwakae sawa akiwemo yule chifu mjambiani bin maushungi
Daah kazi ipo kama waliochanjwa unaambiwa asilimia hizo zinapungua usipochanja hatari yake ni kubwa zaidi endelea kujidanganya...
 
Watu wasiochanja ndiyo wanasababisha virusi hatari wazaliwe. Kuchanjwa kunapaswa kuwa lazima.
 
Daah kazi ipo kama waliochanjwa unaambiwa asilimia hizo zinapungua usipochanja hatari yake ni kubwa zaidi endelea kujidanganya...
Watz tunayo chanyo ya asili ilijitengeneza yenyewe tatizo ni kwenu mnaochanja hadi kinga za mwili zinapungua kwani ukusikia madhara ya chanjo za kovidi na HIV
 
Back
Top Bottom