R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Nov 9, 2019 #1 Ng'ombe alipigwa Dexamethazone akiwa na Mastitis, akakata kutoa maziwa, yakakauka kabisa. Nadhani huyu alifanya makosa kumchoma hiyo sindano. Nifanyaje aweze kutoa maziwa tena?
Ng'ombe alipigwa Dexamethazone akiwa na Mastitis, akakata kutoa maziwa, yakakauka kabisa. Nadhani huyu alifanya makosa kumchoma hiyo sindano. Nifanyaje aweze kutoa maziwa tena?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Nov 9, 2019 #2 Wataalamu wa SUA ( Veterinary Doctors ) tunawasubiri hapa.
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 3,732 Reaction score 6,561 Nov 9, 2019 #3 Ulijuaje alichoma Dexa? Baada ya hapo umemshirikisha huyo doctor? Tatizo huwa ni kujinunulia madawa na kutumia bila kufuata ushauri wa wataalamu.
Ulijuaje alichoma Dexa? Baada ya hapo umemshirikisha huyo doctor? Tatizo huwa ni kujinunulia madawa na kutumia bila kufuata ushauri wa wataalamu.