Wataalamu/ madaktari wa mifugo nisaidieni tafadhali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ng'ombe alipigwa Dexamethazone akiwa na Mastitis, akakata kutoa maziwa, yakakauka kabisa. Nadhani huyu alifanya makosa kumchoma hiyo sindano.

Nifanyaje aweze kutoa maziwa tena?
 
Wataalamu wa SUA ( Veterinary Doctors ) tunawasubiri hapa.
 
Ulijuaje alichoma Dexa?

Baada ya hapo umemshirikisha huyo doctor?

Tatizo huwa ni kujinunulia madawa na kutumia bila kufuata ushauri wa wataalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…