kuumwa kichwa upande mmoja hasa komwe jicho moja likatoa machozi lenyeww pua moja ikatoa mafua yenyewe kisogo na sikio moja kuuma lenyewe hii inasababishwa na nini? yaani hivo nilivo vitaja huuwa vinauma kwa pamoja na niupande mmoja tu kiaai kwamba huezi fanya kazi yoyote mpaka umeze paracetamol kutuliza maumivu.
mkuu asante sana kwa kiswahili huo ugonjwa unaitwaje labda visababishi mpaka unaupata ni vipi na tiba yake ipoje? samahani kwa usumbufu.utakua na infection ya Sinus ambayo huitwa Sinusitis...mafua yanakupa super infection sababu pua zimeungana na hizi sinus.
Sinus ni sehemu ya uwazi ndani ya fuvu la kichwa nje na kazi nyingine husaidia katika utoaji wa sauti ndo maana zikiziba wakati una mafua basi sauti yako hubadilika.
Ni vema kwenda hospitali kama tatizo hili linakupata mara kwa mara maana ukiziharibu hizi Sinus itakuja ku cost na kukupelekea kufanyiwa ENT surgery.
Tazama picha hii kuona muunganiko wa Pua na Maxilla sinus.