topr
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 700
- 654
Nawasalimu wanajamvi me ni mama Wa mtoto mmoja (nimeolewa) tatizo linalo nisumbua ni kuwa mkavu sana wakati Wa tendo la ndoa
Sio kwamba Mume wangu aniandai apana! ananiandaa vizuri tu ila nakua mkavu sana kiasi kwamba mpaka tutumie mafuta au mate,
Kunamuda najisikia vibaya na nilizani nikizaa tatizo litaisha lakini wapi,je wataalamu nifanye nn ili tatizo langu liishe nisaidieni wapendwa japo Mume wangu anadai anafurahia nilivyo.
Nihayo tu nawasulisha