Nina Toyota harrier sasa inafanya ndivyo sivy kabisa kwenye braking system.Tatizo lilianzia kwenye kuwaka ( blinking) taa ya overdrive.Lakini gear zinabadika kwenye mwendo kama kawaida.Sasa Ikafuata taa ya ABS kuwaka mafundi baada ya kuwa nakanyaga foot pedal na brake zinakamata kwa manati hadi nifanye double pressing.Hatimaye wakanishauri nibadilishe master na nilipoiweka tu imeanza mchezo mchafu sana.Meta 200 tu tairi zinajamu kwa 100 asilimia.mafundi wamechemsha,naomba kutatua tatizo maana humu kuna wabobezi.Naomba kukombolewa huu usafiri.