Wataalamu msaada tafadhari,

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
614
Nina Toyota harrier sasa inafanya ndivyo sivy kabisa kwenye braking system.Tatizo lilianzia kwenye kuwaka ( blinking) taa ya overdrive.Lakini gear zinabadika kwenye mwendo kama kawaida.Sasa Ikafuata taa ya ABS kuwaka mafundi baada ya kuwa nakanyaga foot pedal na brake zinakamata kwa manati hadi nifanye double pressing.Hatimaye wakanishauri nibadilishe master na nilipoiweka tu imeanza mchezo mchafu sana.Meta 200 tu tairi zinajamu kwa 100 asilimia.mafundi wamechemsha,naomba kutatua tatizo maana humu kuna wabobezi.Naomba kukombolewa huu usafiri.
 

Kama brake zinakuletea shida na taa ya ABS inawaka basi kuna shida kwenye mfumo wa ABS.

Pia taa ya O/D kuwaka kuna uwezekano kuna shida kwenye gearbox.

Anyway, Kama upo Dar unaweza kunicheck tukafanya Full system diagnosis na kujua tatizo liko wapi na tukalisolve.

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…