Spare bei juu, fuel consumption nayo sio poa.. Durability generally haivutiiSina mengi ya kuandika .. hicho ndicho nikitakacho tu.
unamaanisha nini unaposema durability haivutii.... Naelewa Elgrand ni gari ya safari ndefu... ndiyo maana ukiitumia kwa mishe za mjini.... mafuta yatakuliza saana.Spare bei juu, fuel consumption nayo sio poa.. Durability generally haivutii