Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Habari.
Mimi ni mwanamke ninaetarajia kupata mtoto kwa kipindi hiki.
Mzunguko wa siku zangu ni siku 28... na napoingia kwenye siku zangu naenda siku tatu. Mara ya mwisho kuona siku zangu ilikuwa tarehe 11-13 ikakata, baada ya hapo nikaja kukutana na mwenza Wangu tarehe 23 ambayo nikihesabu kuanzia siku ya kwanza nilipoona siku zangu ni siku ya 13..na alikojoa ndani mara tatu. Sina tatizo lolote kiafya na leo ya 6 tangu nikutane nae mwez huu.
Swali . je kuna uwezekano ya kuwa nimeshika mimba?
Na je inaonekana baada ya mda gani maana hata natamani hata saiz nikapime mkojo...je kama ipo ntaiona?!..
Asanteni.