Wataalamu nijibuni hapa

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari.
Mimi ni mwanamke ninaetarajia kupata mtoto kwa kipindi hiki.
Mzunguko wa siku zangu ni siku 28... na napoingia kwenye siku zangu naenda siku tatu. Mara ya mwisho kuona siku zangu ilikuwa tarehe 11-13 ikakata, baada ya hapo nikaja kukutana na mwenza Wangu tarehe 23 ambayo nikihesabu kuanzia siku ya kwanza nilipoona siku zangu ni siku ya 13..na alikojoa ndani mara tatu. Sina tatizo lolote kiafya na leo ya 6 tangu nikutane nae mwez huu.
Swali . je kuna uwezekano ya kuwa nimeshika mimba?
Na je inaonekana baada ya mda gani maana hata natamani hata saiz nikapime mkojo...je kama ipo ntaiona?!..
Asanteni.
 
kama hauna tatizo lolote ki afya na umejiridhisha kuwa na huyo mwanaume wako hana tatizo basi mimba lazima itakua imeingia na kuna uwezekano ikawa ya mtoto wa kiume. inashauriwa kupima sikuchache baada ya kutoonasiku zako. angalizo: usipanie sana manake kama utapania sana na mimba osiwepo itakuumiza sana na itapelekea kuzidisha siku zako za bleed ukajikuta unaenda haya siku30.....
 
Hiyo ni mimba direct otherwise una matatizo
 
Kwa hesabu uliyofanya na mapenzi mliyoyafanya unaweza kushika kweli mimba. Ngojea mpaka karibu na tarehe 9 mwezi unaokuja kapime mimba huenda ukawa unayo mimba hongera kwa mahesabu yako Mpole mimi Na kama utakuwa na mimba basi tegemea kupata mimba ya mtoto wa kiume.
 

Vp jamaa anataarifa unataka kumdakisha mimba au unaitafuta ili akuoe?!

Daah! iv humu hakuna mwanamke ambae hafanyi kweli?! yani kuna bikra kweli jf?!
 

Asante sana
Asanteni wote. Nitafanya ivo
 
Vp jamaa anataarifa unataka kumdakisha mimba au unaitafuta ili akuoe?!

Daah! iv humu hakuna mwanamke ambae hafanyi kweli?! yani kuna bikra kweli jf?!

Ungejua tunavyotaman mtoto ungepita kimya kimya tu.
Ilo swala la bikra nadhan hapa sio mahali pake kaulize MMU kule watakujibu
 
Swala la calender gumu sana na ndio linalo Fanya wadada wengi kupata mimba wasizoplan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…