wanajf sikuhizi maeneo mbalimbali nchini viwanja vinauzwa si tena kama zamani unapata shamba, nusu heka etc, kiwanja hiki kinaukubwa wa mita 15 kwa mita 20, wataalamu wa ujenzi, niambieni hiki kinafaa kujenga nyumba ya familia, yani nyumba isiyo ghorofa yenye vyumba vitatu vya kulala.
mwazo yenu wakuuu
mwazo yenu wakuuu